SOMA ALICHOPOST SEIF SHARIF HAMAD BAADA YA MECHI ZANZIBAR HEROES NA HARAMBEE STARS KUISHA - EDUSPORTSTZ

Latest

SOMA ALICHOPOST SEIF SHARIF HAMAD BAADA YA MECHI ZANZIBAR HEROES NA HARAMBEE STARS KUISHA


Katika siku ninazojivunia Uzanzibari wangu moja ni leo. Hatukuchukua Kombe lakini tunaondoka Machakos na USHINDI. #Zanzibar inavuma kila mahali duniani na sababu ni nyinyi vijana wangu wa #ZanzibarHeroes! Tunakusubirini kwa furaha! Hongera kwa Kenya pia kwa kutwaa Kombe!

EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz