Type something and hit enter

OnMbunge wa viti maalumu kwa tiketi ya CHADEMA kutoka Mkoa wa Geita, Upendo Peneza leo Desemba 15, 2017, ameitisha mkutano na Waandishi wa Habari, Mkutano ambao umeleta gumzo mitandaoni kutokana na wimbi la Wabunge wa Vyama vya Upinzani kukimbilia CCM.

Mhe. Peneza ameitisha mkutano huo bila kueleza nini hasa anachoenda kuzungumzia kitu ambacho kimeleta maswali mengi kwa wafuasi wa CHADEMA nchini Tanzania.

Mkutano huo unajiri ikiwa ni siku moja tu imepita tangu Mbunge wa jimbo la Siha, Mhe. Godwin Mollel kutoa tamko kuwa amekihama chama hicho na kuhamia CCM.

EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji


Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno
Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB

Click to comment