MECHI YA YANGA NA POLISI KUPIGWA JPILI BADALA YA KESHO - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

DOWNLOAD EDUSPORTSTS NEWS APP HAPA

Friday, 15 December 2017

MECHI YA YANGA NA POLISI KUPIGWA JPILI BADALA YA KESHOMechi ya kirafiki iliyopangwa kuchezwa kesho Jumamosi kati ya Yanga na Polisi Tanzania itachezwa keshokutwa Jumapili.


Awali, mechi hiyo ilipangwa ichezwe kesho Jumamosi maalumu kwa Yanga kuangalia nyota wake baada ya kufanya mazoezi.

Kwa mujibu wa taarifa ambazo imezipata salehjembe, mechi imehairishwa kuchezwa mechi hiyo iliyopangwa ichezwe Uwanja wa Taifa kutokana na nyasi kufyekwa bila ya viwango ambazo ni fupi zaidi.

Meneja Mkuu wa Yanga, Hafidh Saleh alithibitisha hilo kwa kusema kuwa "Mechi yetu tuliyopanga tucheze kesho Jumamosi itachezwa Jumapili na siyo Jumamosi kama tulivyopanga baada ya kutokea matatizo.

EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno