MBUNGE NASSARI NA MKEWA WANUSURIKA KIFO BAADA YA KUVAMIWA NA WATU WASIOJULIKANA - EDUSPORTSTZ | Habari za Ajira, Mapenzi, Michezo, Elimu, Kilimo, Technology, Siasa na Mziki,

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Saturday, 2 December 2017

MBUNGE NASSARI NA MKEWA WANUSURIKA KIFO BAADA YA KUVAMIWA NA WATU WASIOJULIKANA

Usiku wa kuamkia leo mbunge Joshua Nassari amenusurika kuuawa na watu wasiojulikana waliorusha risasi nyumbani kwake. Mh Nassar amefanikiwa kutoroka na mke wake na kukimbilia kituo cha polisi kwa usalama zaidi. Katika account yake ya twitter ameyaandika yafuatayo;

Nimevamiwa nyumbani kwangu maeneo ya USA RIVER usiku huu na watu wenye silaha, na kufyatua risasi ambazo zimeua mbwa waliokuwepo nje ya nyumba. Nimefanikiwa kukimbia na mke wangu na kuripoti kituo cha Polisi. Nimekuwa nikitishiwa kuuawa kila siku, sina amani ndani ya nchi yangu.
EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno

No comments:

Post a Comment