ZITTO KABWE AZIDI KULIAMSHA DUDE KUHUSU TAKWIMU ZA UCHUMI - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Thursday, 2 November 2017

ZITTO KABWE AZIDI KULIAMSHA DUDE KUHUSU TAKWIMU ZA UCHUMI


Mbunge wa kigoma kasikazini ambaye pia ni kiongozi wa chama cha ACT amendelea kutoa msimamo wake katika swara zima la mstakabari wa uchumi wa nchi.
Awali zitto kabwe alishikiliwa na jeshi la polisi kutokana na kutoa habari kuhusu kushuka kwa pato la taifa.

Leo katika mtandao wake wa twitter ameandika kustaajabishwa kupanda kwa pato la taifa kulingana na kauli za serikali wakati viashilia juu ya kushuka kwake vianaonekana ikiwa ni pamoja na kushuka kwa kipato cha benki ya taifa NMB kwa asilimia 57, kutoka 35b-15b.


  SUBSCLIBE ENEO LA FOLLOW CHINI ILI KUWEKA HABARI ZOTE KIGANJANI MWAKO

like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika Propellerads

For Booking>>>

CALL>>>

Voda: +255757441463

JIUNGE NAMI KUPITIA LINK HIZI