RAFAEL NADAL ACHAPWA MICHUANO YA ATP - EDUSPORTSTZ

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Tuesday, 14 November 2017

RAFAEL NADAL ACHAPWA MICHUANO YA ATP


Image captionGoffin alicheza mara moja na Novak Djokovic mwaka jana na alionyesha kiwango kizuri

Mchezaji namba saba kwa ubora nchini Ubelgiji David Goffin amemchapa Rafael Nadal katika fainali za ATP mjini London.

Goffin ambaye wengi hawakutarajia ushindi wake amechapa Nadal kwa seti 7-6 7-5 6-7 4-7 6-4.

Kabla ya mchezo huo Nadal alilalamikia maumivu ya goti lake lakini akasema atajitahidi kushinda.

Nadal ameelezea kusikitishwa kupoteza mchezo huo, lakini amesifia kiwango cha Goffin na kwamba alistahili kushinda.

Goffin alikosekana uwanjani kwa muda mrefu kutokana na majeraha ya mara kwa mara.
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno

No comments:

Post a Comment