Real Madrid inaonekana haitanii kuhusiana na Neymar na tayari imetenga kitita cha euro milioni 200.
Taarifa zimeeleza, Madrid imepanga kumsainisha Neymar ikimshukua kutoka PSG ya Ufaransa.
Neymar amejiunga na PSG akitokea Bacelona na alisajiliwa kwa dau la pauni milioni 198
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno
No comments:
Post a Comment