JE WAJUA??TOKA BALE AJIUNGE NA MADRID AMEUMIA MARA NGAPI NA KUKOSA MECHI NGAP?? - EDUSPORTSTZ

Latest

JE WAJUA??TOKA BALE AJIUNGE NA MADRID AMEUMIA MARA NGAPI NA KUKOSA MECHI NGAP??





Tokea amejiunga na Real Madrid Juni, 2013 kiungo Gareth Bale, ameumia na kulazimika kukaa nje ya uwanja mara 24.


Alianza kwa kuumia nyama, baadaye ikafuatia enka na akalazimika kufanyiwa upasuaji.


Kutokana na kuandamwa na majeraha mara kwa mara alishindwa kucheza mechi 17 mfululizo katika msimu wa 2016/17.


Kabla ya hapo katika msimu wa In 2015/16, Bale alikosa mechi 19 katakana na tatizo la nyama au misuli.


Msimu wa 2013/14, akiwa mbichi kabisa alikosa mechi 15 kutokana na tatizo hilo la misuli.



Kama utazungumzia mechi za mashindano ambazo amekosa tokea amejiunga na Real Madrid akitokea Tottenham ya England, ni 79


Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz