NAPE ATEMA CHECHE; SIAMINI SANA KATIKA KUBADILI IMANI KIENYEJI - EDUSPORTSTZ | Habari za Ajira, Mapenzi, Michezo, Elimu, Kilimo, Technology, Siasa na Mziki,

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Friday, 3 November 2017

NAPE ATEMA CHECHE; SIAMINI SANA KATIKA KUBADILI IMANI KIENYEJI


 Mbuge Nape Moses Nnauye aliye wahikuwa waziri wa michezo na msemaji wa chama cha mapinduzi, leo katika ukurasa wake wa twitter  ametoa maneno yanayojibu maswari na itikadi za watu juu ya sakata na tuhuma kuhusu kuhama CCM. Nape ameyaandika yafuatayo:
Chama cha siasa ni ITIKADI, itikadi ni IMANI.Siamini SANA katika kubadili Imani KIENYEJI.Nitashughulikia MAPUNGUFU nikiwa ndani sio NJE!


 like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika Propellerads

For Booking>>>CALL>>>

Voda: +255757441463

JIUNGE NAMI KUPITIA LINK HIZI
No comments:

Post a Comment