DR SHIKA AFUNGUKA KUMKUBARI STAA RC - EDUSPORTSTZ

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Wednesday, 29 November 2017

DR SHIKA AFUNGUKA KUMKUBARI STAA RCDAKTARI Louis Shika ambaye alipata umaarufu mkubwa baada ya jaribio lake la kununua nyumba za mfanyabiashara Said Lugumi, ametoa mpya baada ya kudai kuwa anaguswa na muziki wa mkongwe Rehema Chalamila ‘Ray C’.

 Dr Shika alisema katika Tanzania, hakuna msanii yeyote wa Bongo Fleva ambaye anamhusudu zaidi ya mwimbaji huyo anayesifika kwa kuimba na kucheza.

 CHANZO: GROBALPULISHER
EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno

No comments:

Post a Comment