ALICHOPOSTI JOSHUA NASSARI KUMSHAURI ZITTO KABWE - EDUSPORTSTZ

Latest

ALICHOPOSTI JOSHUA NASSARI KUMSHAURI ZITTO KABWE


Joshua Nassari Ampa Ushauri Huu Zitto Kabwe


Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nasari amemshauri mbunge mwenzake Zitto Zuberi Kabwe, kuongeza ulinzi madhubuti ili kujiweka salama.

Kwenye ukurasa wake wa twitter Joshua Nasari ameandika ujumbe huo, akisema kwamba kuna haja ya Zitto Kabwe kufanya hivyo kwani wakati uliopo sio salama tena.
"Nadhani ni wakati sahihi sasa ndugu yangu Zitto Kabwe ukaongeza ulinzi wako binafsi, nyakati hizi si salama tena kama tudhaniavyo", ameandika Joshua Nasari.
Hivi karibuni baadhi ya wabunge wa upinzani wameripoti kuhofia usalama wao, kwa kufuatiliwa na watu wasiojulikana na kutishia maisha yao.



like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika Propellerads

For Booking>>>



CALL>>>

Voda: +255757441463

JIUNGE NAMI KUPITIA LINK HIZI










Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz