TETESI ZA SOKA LA ULAYA JUMAPILI 29.10.2017 - EDUSPORTSTZ

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Sunday, 29 October 2017

TETESI ZA SOKA LA ULAYA JUMAPILI 29.10.2017


Farhad Moshiri

Mfanyabiashara mwenye hisa nyingi zaidi katika klabu ya Everton Farhad Moshiri, anataka kumsaini mchezaji wa Chile Sanchez kwa pauni milioni 30. (Sun on Sunday)

Everton wana mpango wa kumsajili aliyekuwa meneja wa England na Crystal Palace Sam Allardyce. (Sun on Sunday)

Barcelona wana matumani ya kumsaini mchezaji wa safu ya kati raia wa Brazil Philippe Coutinho, kwa pauni milioni 132 mwezi Januari (Sunday Express)Philippe Coutinho

Manchester City wana mpango wa kumfanya mchezaji kiungo cha kati raia wa Ubelgiji Kevin de Bruyne, 26, kuwa mchezaji anayelipwa pesa nyingi zaidi katika historia yake wa Pauni 250,000 kwa wiki (Daily Star Sunday)

Crystal Palace wana mpango wa kumsaini mshambuliaji wa Besiktas, Cenk Tosun 26, ambaye thamani yake inaweza kuwa karibu paunia milioni 20 (Mail on Sunday)David de Gea

Kipa wa Manchester United na Uhispania David de Gea, 26, bado anasuburi kuambiwa na klabu yake kuhusu mazungumzo ya mkataba (Daily Star Sunday)

Meneja wa Manchester United ana hofu kuhusu hali ya mkataba wa Marouane Fellaini. Mkataba wa raia huyo wa Ubelgiji 29, unafikia mwisho, mwishoni mwa msimu. (Sky Sports)
Jose Mourinho

Mourinnho anapania kumsaini mchezaji raia wa Ubelgiji anayeichezea Paris St-Germain Thomas Meunier 26. (Sunday Express)

Everton wana naia ya kumsaini kijana wa Sheffield United Sam Graham. (Liverpool Echo)
 like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika Propellerads

For Booking>>>CALL>>>

Voda: +255757441463

JIUNGE NAMI KUPITIA LINK HIZI
No comments:

Post a Comment