Neymar amerejea tena Barcelona kuwasalimia rafiki zake Lionel Messi na Luis Suarez.
Neymar amewatembelea Messi na Suarez baada ya kwenda mazoezini Barcelona ikijifua katika enero la La Masia.
Neymar sasa anakipiga PSG aliyojiunga nayo akitokea FC Barcelona. Pamoja na Messi na Suarez, Neymar alipata nafasi ya kuzungumza na wachezaji wengine akiwemo Gerard Pique.
like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika
For Booking>>>
EMAIL: edusportstz@gmail.com
CALL>>>
Voda: +255757441463
JIUNGE NAMI KUPITIA LINK HIZI
Post a Comment