NASSARI: SIKU MAGUFURI AKIHAMIA CHADEMA WATASEMA ALIUZA NYUMBA ZA SERIKARI - EDUSPORTSTZ | Habari za Ajira, Mapenzi, Michezo, Elimu, Kilimo, Technology, Siasa na Mziki,

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Tuesday, 31 October 2017

NASSARI: SIKU MAGUFURI AKIHAMIA CHADEMA WATASEMA ALIUZA NYUMBA ZA SERIKARI

 Joshua Nassari
Kutokana sakata la mh nyarandu kuihama ccm, wanasiasa mbalimbali wametoa ya moyoni mwao ambao wakongwe wa ccm wamedai ameshindwa kwendana na kasi ya rais JPM. Mbungwe Joshua nassari hakusita kutoa ya moyoni kujibu tuhuma hizo kupitia account yake ya twitter kwa kuandika ya fuatayo.
Siwashangai uvccm wakimsema Nyalandu kuhusu Mali asili.
Najua ipo siku Magufuli nae akihamia Chadema watasema aliuza Nyumba za serekali.
— Joshua Nassari (@joshua_nassari)
usisahau kutembelea edusportstz kwa ajili ya habari za mastaa na viongozi mbalimbali katika kipengele kipya cha  uwanja wa mastaa

like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika Propellerads

For Booking>>>CALL>>>

Voda: +255757441463

JIUNGE NAMI KUPITIA LINK HIZI
No comments:

Post a Comment