MFAHAMU KOCHA BORA WA FIFA - EDUSPORTSTZ

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Tuesday, 24 October 2017

MFAHAMU KOCHA BORA WA FIFA
Kocha wa Real Madrid, Zinedine Zidane ametangazwa kuwa kocha bora katika tuzo za Fifa mjini London.


Tuzo hizo zinaendelea jijini London na Zidane amefanikiwa kubeba tuzo hiyo kutokana na mafanikio makubwa msimu uliopita akibeba La Liga na Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa mara ya pili mfululizo.Sherehe za tuzo hizo zinaendelea jijini London, England

 like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika Propellerads

For Booking>>>CALL>>>

Voda: +255757441463

JIUNGE NAMI KUPITIA LINK HIZI
No comments:

Post a Comment