SHUHUDIA KINANEYMAR,MESSI NA KINARONALDO WAKIJISELFISHA - EDUSPORTSTZ

Latest

SHUHUDIA KINANEYMAR,MESSI NA KINARONALDO WAKIJISELFISHA






Mwigizaji Idriss Alba ameonekana si mtu mwenye mapozi wala kujivunga baada ya kuwafuata nyota, Lionel Messi, Neymar na Cristiano Ronaldo na kupiga nao picha kwa mtindo wa selfie.


Alba raia wa Marekani ambaye sasa anatamba na filamu ya Dark Tower alikwenda moja kwa moja na kupiga picha na Messi aliyekuwa amekaa na Neymar.





Baada ya hapo, akasonga na kupiga picha na Ronaldo aliyekaa karibu na mtoto wake wa kiume kwa mtindo huihuo wa selfie.


Wakali hao wako ukumbini jijini London kwa ajili ya tuzo za wachezaji bora za Fifa.


Messi na Ronaldo ndiyo washindani wakubwa na mmoja wao anatarajia kushinda tuzo hizo.




 like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika Propellerads

For Booking>>>



CALL>>>

Voda: +255757441463

JIUNGE NAMI KUPITIA LINK HIZI










Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz