SIKU SABA ZA WIKI SIMBA KUZIMALIZA KWA DKK 90 DHIDI YA RUVUSHOOTING - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

DOWNLOAD AJIRA DAILY HAPA

Saturday, 26 August 2017

SIKU SABA ZA WIKI SIMBA KUZIMALIZA KWA DKK 90 DHIDI YA RUVUSHOOTING

Image result for simba sc
Ligi Kuu kuu Tanzania bara imefunguliwa Leo ambapo moja ya mchezo ulio kuwa mtamu ni kati ya Simba va Ruvushooting. Simba wameweza kuzima maneno ya msemaji wa Ruvu shooting baada ya kuwafunga mabao 7.


Magoli hayo yamefungwa na Emmanuel Okwi aliyefunga mabao 4 huku Wafungaji wengine wakiwa ni Kichuya aliye funga goli 1 Luizio pia amefunga 1 na Erasto Nyoni nae Akifunga 1.