MANENO YA MANARA KWA VIONGOZI WAPYA WA TFF

Mara baada ya Wallace Karia Kushinda Uchaguzi na Kuwa Rais wa TFF  na Michael Wambura Kushinda nafasi ya Makamu wa Rais ndugu msomaji wa Kwataunit.com  Msemaji wa Simba Haji Manara ameandika Maneno Haya.

hajismanara  " Enzi za kubebana zimeisha TFF,na Simba hatutaki mbeleko,tunataka haki,narudia HAKI,,hongera Wallace karia na Michael Wambura,,pelekeni Soka mbele@tanfootball @wallacekaria 👏👏 "

Artikel Terkait