MAMBO MAKUU 3 KUTOKA YANGA - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

DOWNLOAD AJIRA DAILY HAPA

Sunday, 13 August 2017

MAMBO MAKUU 3 KUTOKA YANGA
Yanga Kucheza Tena Leo
Klabu ya Yanga leo Inatarajwa Kushuka Visiwani Zanzibar kucheza na Mlandege Kwenye Mchezo wa Kirafiki Utakaofanyika Huko Zanzibar Katika uwanja wa Amani kuanzia majira ya saa 1. kwataunit.com Tutakupa Matokeo

Cannavaro ameeleza Sababu za Kufungwa na Ruvu Shooting
Nahodha wa Timu ya Yanga Nadir Haroub Cannavaro amesema sababu za Timu Yake Kufungwa na Ruvu Shooting zimetokana na Kufanya Mazoezi mengi Magumu ya mwili muda Mrefu bila Kucheza Na Mpira walipokuwa Morogoro.

Cannavaro  amewatoa Hofu wapenzi wa Yanga kuwa mambo yatakaa sawa na Kila Kitu kwenda Vizuri. Yanga walipoteza kwa Ruvu baada ya Kufungwa bao 1 kwa 0 katika Mchezo wa Kirafiki.


Geofrey Mwashiuya KUPATA jiko
Mchezaji Geofrey Mwashiuya usiku wa Kuamkia Leo amefanya Sendoff na Mkewe Mtarajiwa Kama Inavyoonekana katika Picha. Kuzipata Kali,Mpya na Za Uhakika Za Kimichezo Like Ukurasa wetu wa Facebook hapo Chini