Samatta ni shida!!jana kawanyanyasa mabeki wa Ajax, atupia moja - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Sunday, 16 July 2017

Samatta ni shida!!jana kawanyanyasa mabeki wa Ajax, atupia moja


 
Mshambuliaji wa KRC Genk, Mtanzania, Mbwana Samatta akiwatoka wachezaji wa Ajax katika mchezo wa kirafiki kujiandaa na msimu jana Uwanja wa mazoezi wa The Ajax Future timu hizo zikitoka sare ya 3-3.


Mbwana Samatta akiwatoka wachezaji wa Ajax timu hizo zikitoka sare ya 3-3 jana


Mbwana Samatta alifunga bao moja jana katika sare hiyo