ABDUL MINGANGE WA NDANDA FC NDO BAS TENA! - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

Saturday, 15 July 2017

ABDUL MINGANGE WA NDANDA FC NDO BAS TENA!Ndanda FC wamemtema kocha wao, Abdul Mingane.

Habari kutoka ndani ya kikosi hicho zimeeleza, sasa wako katika harakati za kusaka kocha mpya.

“Kweli Ndanda wamemtema Mingange na wanaendelea kusaka kocha mwingine,” kilieleza chanzo.

Mingange alirejea tena Ndanda FC ikiwa katika wakati mgumu wa kuepuka kuteremka daraja na akafanikiwa kuibakiza.