HATIMAYE CHELSEA YAMALIZANA NA BAKAYOKO, YAMPA MIAKA - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

DOWNLOAD AJIRA DAILY HAPA

Saturday, 15 July 2017

HATIMAYE CHELSEA YAMALIZANA NA BAKAYOKO, YAMPA MIAKA
Hatimaye Chelsea imemalizana na kiungo Tiemoue Bakayoko kutoka Monaco. Inaelezwa mabingwa hao wa England wamemwaga pauni milioni 40.

Bakayoko amemalizana na Chelsea kwa kusaini mkataba wa miaka mitano.

Kiungo huyo mshambulizi mwenye miaka 22, anatokea Monaco ambayo alifanya vizuri akiwa huko. Mkali huyo amekabidhiwa jezi namba 14.