TIMU YA TUSKER YA KENYA YAWASILI KUSHIRIKI MICHUANO YA SPORTPESA INAYOANZA JUNI 5 UWANJA WA UHURU JIJINI DAR ES ASALAAM - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

DOWNLOAD AJIRA DAILY HAPA

Saturday, 3 June 2017

TIMU YA TUSKER YA KENYA YAWASILI KUSHIRIKI MICHUANO YA SPORTPESA INAYOANZA JUNI 5 UWANJA WA UHURU JIJINI DAR ES ASALAAMWachezaji wa timu ya Tusker ya Kenya wakiwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, tayari kwa ajili ya michuano ya Sportpesa itakayo anza kutimua vumbi Juni 5 mwaka huu katika uwanja wa Uhuru maalufu kama shamba la bibi. Michuano hiyo imedhaminiwa na Kampuni ya Sport Pesa kwa kuzishirikisha timu zinazo dhaiminiwa na kampuni hiyo za nchi ya Kenye na Tanzania.Wachezaji wa timu ya Tusker ya Kenya wakiwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, tayari kwa ajili ya michuano ya Sportpesa itakayo anza kutimua vumbi Juni 5 mwaka huu katika uwanja wa Uhuru maalufu kama shamba la bibi.Michuano hiyo imedhaminiwa na Kampuni ya Sport Pesa kwa kuzishirikisha timu zinazo dhaiminiwa na kampuni hiyo za nchi ya Kenye na Tanzania.
Picha na Mafoto Blog