TETESI ZA USAJILI ULAYA MCHANA HUU



Star wa klabu ya Barcelona  Lionel Messi ameweka wazi ofa kwa klabu yake ya sasa ili kuongeza mkataba na klabu hiyo. (Source: AS) 


Mshambliaji wa zamani wa klabu ya Manchester United Ryan Giggs  ameorodheshwa katika makocha wanaoweza kuchukua kibarua cha kuinoa klabu ya Middlesbrough. (Source: Sun Sport) 


Manchester City wameitaarifu  Monaco kua wapo tayari kutoa  £94m ili kuinasa saini kinda mwenye miaka 18 Kylian Mbappé. (Source: Le10 Sport)

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post