FIFA KUCHUNGUZA USAJILI WA PAUL POGBA - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Wednesday, 10 May 2017

FIFA KUCHUNGUZA USAJILI WA PAUL POGBA
Shirikisho la soka duniani FIFA limetangaza kuanza kufanya uchunguzi juu ya usajili wa Paul Pogba kutoka Juventus kwenda Man UnitedKiungo huyo katika majira ya kiangazi mwaka jana alirejea Man United kutoka Juve kwa ada ya milioni 89.3.

Man United wameulizwa kutoa ufafanuzi kuhusu vipengele vyote vya usajili huo, pamoja na pauni milioni 41 alizochukua wakala wa Pogba,Mino Raiola katika dili hilo