TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI - EDUSPORTSTZ | Habari za Ajira, Mapenzi, Michezo, Elimu, Kilimo, Technology, Siasa na Mziki,

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Tuesday, 2 May 2017

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI


Rais wa Shirikisho la soka nchini TFF JAMAL MALINZI kesho anatarajia kufungua Mafunzo ya Awali ya Ualimu wa Soka(Kocha) na Uamuzi(referee)Mafunzo hayo yanaendeshwa na Chama cha soka wilaya ya Ubungo UFA,Mafunzo yatakuwa ya wiki mbili.
Tafrija hiyo ya Uzinduzi itafanyika kwenye UWANJA wa KINESI Kesho Tarehe 02-05-2017 Saa 4 Asubui 

Imetolewa na 
JACOB MBUYA 

Afisa Habari UFA

No comments:

Post a Comment