Siri ya Ushindi wa Simba 2-1 Dhidi ya Yanga Dabi ya Kariakoo

KOCHA Mkuu wa Simba SC, Steve Barker, amevunja ukimya na kufichua siri ya ushindi mtamu wa mabao 2-1 dhidi ya Yanga katika mchezo mkali wa Dabi ya Kariakoo, akisisitiza kuwa siri ya mafanikio hayo haikutokana na mchezaji mmoja, bali ni kazi kubwa ya kikosi kizima. Simba iliibuka na ushindi huo wa kihistoria katika Uwanja wa […]

The post Siri ya Ushindi wa Simba 2-1 Dhidi ya Yanga Dabi ya Kariakoo appeared first on Soka La Bongo.



from Soka La Bongo https://ift.tt/LOSgKwu
via IFTTT

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post