KOCHA wa Simba, Steve Barker, ameweka wazi kuwa hakuna nafasi ya kujivunia au kusherehekea kwa muda mrefu ushindi wa Dabi ya Kariakoo dhidi ya Yanga. Badala yake, amesisitiza kuwa kikosi chake kinapaswa kuelekeza nguvu zote katika maandalizi ya michezo inayofuata ili kulinda moto wao kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara. Hivi karibuni, Simba iliibuka na ushindi […]
The post Kocha wa Simba Steve Barker: Hakuna Muda wa Kusherehekea Dabi! appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/y4Bks72
via IFTTT
Post a Comment