Rekodi Zao! Kwa Nini Wafungaji Bora wa Ligi Kuu Zanzibar Wanafeli Ligi Kuu Bara?

Mnamo Julai 20, 2026, uongozi wa Mashujaa FC ulimtambulisha rasmi mshambuliaji Michael Joseph ili kuongeza nguvu kikosini kwa msimu wa 2026/2027, akitokea kikosi cha KVZ kinachoshiriki Ligi Kuu Zanzibar (ZPL). Michael alijiunga na Mashujaa FC akiwa na sifa kibao, kwani ndiye aliyekuwa mfungaji bora wa Ligi Kuu Zanzibar msimu wa 2025/2026 baada ya kupachika mabao […]

The post Rekodi Zao! Kwa Nini Wafungaji Bora wa Ligi Kuu Zanzibar Wanafeli Ligi Kuu Bara? appeared first on Soka La Bongo.



from Soka La Bongo https://ift.tt/w0T9jR6
via IFTTT

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post