Simba Queens vs Yanga Princess Leo: Vita ya Kukata na Shoka Ngao ya Jamii Wanawake

Pazia la msimu mpya wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara (WPL) linafunguliwa rasmi leo, Septemba 30, kwenye Uwanja wa KMC, Mwenge jijini Dar es Salaam, kwa mechi mbili za nusu fainali ya Ngao ya Jamii. Kipute hiki cha Ngao ya Jamii kinazikutanisha timu nne zilizomaliza nafasi za juu msimu uliopita, kikiwa na dabi mbili […]

The post Simba Queens vs Yanga Princess Leo: Vita ya Kukata na Shoka Ngao ya Jamii Wanawake appeared first on Soka La Bongo.



from Soka La Bongo https://ift.tt/4uJCBiy
via IFTTT

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post