Dabi ya Kariakoo Leo: Simba na Yanga Kukipiga Uwanja wa Uhuru!

Zilizokuwa miezi, wiki na siku, sasa ni saa chache tu zinazohesabika kuelekea pambano kubwa la Dabi ya Kariakoo kati ya miamba ya soka nchini, Simba na Yanga, litakalopigwa leo saa 1:00 usiku katika Uwanja wa Uhuru, jijini Dar es Salaam. Mchezo huu unatarajiwa kuwa wa kisu na nyembe kutokana na historia ndefu na ushindani wa […]

The post Dabi ya Kariakoo Leo: Simba na Yanga Kukipiga Uwanja wa Uhuru! appeared first on Soka La Bongo.



from Soka La Bongo https://ift.tt/m6PBHnZ
via IFTTT

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post