Msisimko wa Ligi Kuu Tanzania Bara unarejea kwa kishindo leo baada ya kupisha mapumziko ya takribani wiki tatu ya kalenda ya Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA). Jumla ya mechi nne za kukata na shoka zitapigwa kwenye viwanja mbalimbali nchini, huku kila timu ikisaka pointi tatu muhimu. Tazama mchanganuo kamili wa mechi zote za leo: […]
The post Ratiba ya Ligi Kuu Bara Leo: Azam, Kaze na Mbeya City Kazini! appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/HrWziI9
via IFTTT
Post a Comment