Yanga Yanoa Makali Botswana: Walter Halson Afichua Mpango wa Gaborone United

MPIRA sasa ndio unaanza kuongea! Klabu ya Yanga imeingia hatua ya mwisho ya maandalizi kuelekea pambano lao la Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Gaborone United, huku benchi la ufundi likiongeza mbinu na ushindani ili kuhakikisha wanavuna pointi tatu ugenini. Meneja wa timu hiyo, Walter Halson, amebainisha kuwa kikosi kinaendelea na mazoezi mazito kuelekea mchezo […]

The post Yanga Yanoa Makali Botswana: Walter Halson Afichua Mpango wa Gaborone United appeared first on Soka La Bongo.



from Soka La Bongo https://ift.tt/1QNogB7
via IFTTT

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post