Simba SC Yageukia Kimataifa: Kocha Steve Barker Aweka Wazi Mipango ya Kuangamiza Mighty Wanderers Malawi

NTARE, DAR ES SALAAM — Baada ya kuanza msimu wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa kishindo kwa kuvuna alama zote 15 katika michezo mitano ya kwanza, Mabingwa wa Nchi Simba SC sasa wamehamishia nguvu zao kwenye anga la kimataifa. Kocha Mkuu wa Simba SC, Steve Barker, amethibitisha kuwa maandalizi kuelekea mchezo wa hatua ya awali […]

The post Simba SC Yageukia Kimataifa: Kocha Steve Barker Aweka Wazi Mipango ya Kuangamiza Mighty Wanderers Malawi appeared first on Soka La Bongo.



from Soka La Bongo https://ift.tt/9oGmiWR
via IFTTT

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post