SIMBA SC leo imeondoka nchini kuelekea nchini Afrika Kusini kwa ajili ya kuweka kambi ya siku 10, huku macho na masikio ya mashabiki yakielekezwa kwenye maandalizi makali ya Kariakoo Dabi dhidi ya Yanga SC inayotarajiwa kupigwa Oktoba 10, mwaka huu. Wekundu hao wa Msimbazi wameanza safari yao saa 4:45 asubuhi, wakitoka moja kwa moja Dar […]
The post Simba Yatimkia Afrika Kusini: Kambi ya Siku 10, Mechi za Kirafiki na Dabi ya Yanga! appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/TJhSXW0
via IFTTT
Post a Comment