Kocha Mkuu wa Azam FC, Florent Ibenge, ametumia mapumziko ya kalenda ya FIFA kuanza mchakato mzito wa kukinoa na kukijenga upya kikosi chake, huku akiweka wazi mpango wa kucheza mechi mbili za kirafiki kabla ya kuwakabili Coastal Union. Licha ya Azam FC kuwakosa wachezaji 12 waliitwa kwenye timu zao za taifa za wakubwa, vijana chini […]
The post Kazi Imeanza! Ibenge Afichua Mpango Mzito Kikosi cha Azam FC Wakati wa Kalenda ya FIFA appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/cKiMgI6
via IFTTT
Post a Comment