Steve Barker Amgomea Oura Kuondoka Simba SC: Ofa ya Dola Milioni 1 Yakataliwa?

KOCHA Mkuu wa Simba SC, Steve Barker, ameweka msimamo mkali kuwa bado anamhitaji kiungo mshambuliaji raia wa Ivory Coast, Anicet Oura, katika mipango yake ya msimu mpya wa mashindano, licha ya nyota huyo kuendelea kuwaniwa kwa kasi na klabu kadhaa za ughaibuni. Oura amekuwa kivutio kikubwa kwa timu mbalimbali za Ulaya, zikiwemo Bursaspor ya Uturuki, […]

The post Steve Barker Amgomea Oura Kuondoka Simba SC: Ofa ya Dola Milioni 1 Yakataliwa? appeared first on Soka La Bongo.



from Soka La Bongo https://ift.tt/A34mpnL
via IFTTT

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post