Mabingwa wa soka Tanzania Bara Yanga leo wako mkoani Lindi kuanza kampeni ya kutetea taji la ligi kuu kwa msimu wa sita mfululizo.
Saa 3 usiku Yanga itashuka uwanja wa Majaliwa kuikabili Namungo Fc katika mchezo wa kwanza msimu huu.
Kikosi cha Yanga kilitua Ruangwa juzi ambapo jana vijana wa kocha Manqoba Mngqithi walikamilisha maandalizi yao.
Licha ya kutambua ugumu wa mchezo huo, Manqoba amesema wanakwenda kuikabili Namungo Fc wakiwa na ubora ule ule kama walivyofanya kwenye mchezo uliopita dhidi ya Simba wakiibuka na ushindi wa bao 1-0 na kutwaa Ngao ya Jamii visiwani Zanzibar.
Manqoba alisema nyota wake wote aliokuwa nao Zanzibar wako tayari kwa mtanange huo utakaopigwa majira ya saa 3 usiku.
Bonyeza hapa kudownload App hii utazame sasa
Usikose kutazama mechi zote LIVE kupitia simu yako pia ukiwa na App hii utaweza kutazama mechi zA Caf, kagame cup , mechi zote za ulaya, ligi kuu Tanzania bara, CRDB CUP na nyingine nyingi LIVE kupitia Simu yako
download App hii mapema itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPAAAA AU HAPAAAA au HAPAA

Post a Comment