Simba SC vs Coastal Union Leo: Mshikemshike wa Ligi Kuu Kuroga Mbweni!

MSHIKEMSHIKE wa Ligi Kuu Tanzania Bara unaingia raundi ya nne leo kwa mechi mbili za kukata na shoka, huku macho na masikio ya mashabiki wa soka yakielekezwa kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, Mbweni jijini Dar es Salaam. Simba SC itakuwa nyumbani kwa mara ya kwanza msimu huu kumenyana na Coastal Union kuanzia saa 1:00 […]

The post Simba SC vs Coastal Union Leo: Mshikemshike wa Ligi Kuu Kuroga Mbweni! appeared first on Soka La Bongo.



from Soka La Bongo https://ift.tt/ulyTZvM
via IFTTT

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post