Klabu ya Simba SC imepata pigo zito katika safu yake ya ulinzi baada ya beki wa kushoto, Nickson Kibabage, kuthibitika kuwa nje ya uwanja kwa kipindi cha kati ya wiki tatu hadi nne kutokana na majeraha aliyoyapata. Taarifa hizi zimeibuka kupitia chapisho la mwanahabari wa michezo, mickyjnrofficial, kupitia mtandao wa Instagram, likieleza kuwa beki huyo […]
The post Pigo Kubwa Simba SC: Nickson Kibabage Nje Wiki 4, Akosa Mechi Zote Hizi Za Moto! appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/7JgNCdm
via IFTTT
Post a Comment