MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba SC, Selemani Haroub ‘Bodi’, ametangaza rasmi kuwa msimu mpya wa 2026/27 utakuwa wa kihistoria kwa klabu hiyo, huku akiwaomba wanachama na mashabiki kuungana kwa pamoja ili kutimiza malengo makubwa yaliyowekwa ndani na nje ya nchi. Akizungumza katika hafla ya maadhimisho ya Simba Week, Mwenyekiti Bodi alibainisha kuwa uwepo […]
The post “Msimu wa Kihistoria!” Selemani Haroub ‘Bodi’ Aweka Wazi Mipango Mizito Simba SC appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/8mKevYA
via IFTTT
Post a Comment