Barbra Banda Aiponda CAF: WAFCON Inatunyima Fursa na Kupoteza Vipaji vya Afrika

NAHODHA wa timu ya taifa ya wanawake ya Zambia (Copper Queens), Barbra Banda, ametoa ya moyoni na kueleza kuwa mwonekano mdogo wa mashindano ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON) unaziba fursa nyingi kwa wachezaji wa Afrika kuonekana duniani. Banda, ambaye kwa sasa anawasha moto katika klabu ya Orlando Pride inayoshiriki […]

The post Barbra Banda Aiponda CAF: WAFCON Inatunyima Fursa na Kupoteza Vipaji vya Afrika appeared first on Soka La Bongo.



from Soka La Bongo https://ift.tt/WJhXF1y
via IFTTT

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post