Mo Dewji Karejea Simba SC: “Tumerudi Kurejesha Heshima 2026/27”

Rais wa Heshima wa Simba SC, Mohammed Dewji (Mo), ametangaza rasmi kurejea kuisimamia klabu hiyo kwa ukaribu zaidi, akibainisha kuwa msukumo mkubwa umetokana na presha ya kuona klabu hiyo ikipoteza makali na ushindani wake wa kawaida. Mo amesisitiza kuwa lengo kuu la uamuzi huo kwa msimu mpya wa 2026/27 ni kuhakikisha Wekundu wa Msimbazi wanarejesha […]

The post Mo Dewji Karejea Simba SC: “Tumerudi Kurejesha Heshima 2026/27” appeared first on Soka La Bongo.



from Soka La Bongo https://ift.tt/OoBz1b5
via IFTTT

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post