Mabingwa wa kihistoria wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, Yanga SC, wanatarajiwa kushuka uwanjani kukabiliana na miamba ya soka kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), klabu ya Aigles du Congo, katika kilele cha tamasha la Yanga Day (Wiki ya Wananchi) msimu huu wa 2026/2027.
Kilele cha tamasha hilo ambalo husubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa soka nchini, kinatarajiwa kufanyika wikiend hii, Jumapili, Agosti 9, 2026, kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Maandalizi kuelekea Tamasha hilo kubwa zaidi la burudani ndhini yamekamilika huku wapinzani wao Aigles du Congo wakiwa tayari wako nchini.
Yanga Day ni zaidi ya burudani ya soka kwani mashabiki watapata fursa ya kushuhudia utambulisho rasmi wa wachezaji wapya pamoja na benchi la ufundi.
Aigles du Congo ni mabingwa wa msimu uliopita ligi kuu ya DR Congo ambapo msimu huu wamemaliza nafasi ya pili nyuma ya TP Mazembe. Ilianzishwa na mfanyabiashara na mwanasiasa mashuhuri nchini DRC, Vidiye Tshimanga Tshipanda, baada ya kununua leseni ya klabu ya Jeunesse Sportive de Kinshasa (JSK)
Waliweka kambi ya maandalizi yao ya pre-season nchini.
Bonyeza hapa kudownload App hii utazame sasa
Usikose kutazama tamasha hili na mechi zote LIVE kupitia simu yako pia ukiwa na App hii utaweza kutazama mechi zA Caf, kagame cup , mechi zote za ulaya, ligi kuu Tanzania bara, CRDB CUP na nyingine nyingi LIVE kupitia Simu yako
download App hii mapema itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPAAAA AU HAPAAAA au HAPAA

Post a Comment