Kocha Mkuu wa Yanga, Manqoba Mngqithi, amesisitiza kuwa kikosi chake bado kipo kwenye mchakato wa kujenga muunganiko imara, licha ya kuanza msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara (2026/27) kwa ushindi mnono wa mabao 3-1 dhidi ya Namungo FC. Yanga ilianza mbio za kutetea ubingwa wake kwa kishindo kwenye Uwanja wa Majaliwa uliopo Ruangwa, Lindi, […]
The post Mngqithi Aweka Wazi Mpango wa Yanga Baada ya Ushindi appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/RxVX6O0
via IFTTT
Post a Comment