Mabadiliko Simba SC: Serikali Yashusha Rungu, Bodi Kuvunjwa

Klabu ya Wekundu wa Msimbazi ipo katika mapambazuko ya ukurasa mpya kufuatia mabadiliko Simba SC yaliyoagizwa na Serikali kupitia Baraza la Michezo la Taifa (BMT). Ni ishara ya moshi mweupe unaofuka kutoka makao makuu ya klabu hiyo, ukiashiria mabadiliko makubwa ya kiuendeshaji ambayo hayajawahi kushuhudiwa tangu kuanza kwa mchakato wa mabadiliko miaka kadhaa iliyopita. Agizo […]

The post Mabadiliko Simba SC: Serikali Yashusha Rungu, Bodi Kuvunjwa appeared first on Soka La Bongo.



from Soka La Bongo https://ift.tt/VWInF9m
via IFTTT

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post