DAR ES SALAAM: Kiungo mshambuliaji mpya wa Yanga SC, Albert Kangwanda, ameweka wazi siri iliyomfanya afunge bao la ushindi lililowapa ubingwa wa Ngao ya Jamii dhidi ya watani wao wa jadi, Simba SC. Mzaliwa huyo wa Luanshya nchini Zambia, alipachika goli hilo pekee la ushindi kwa kichwa katika dakika ya 31 ya mchezo, akimalizia krosi […]
The post Kangwanda Afichua Siri ya Bao la Ushindi Dhidi ya Simba Ngao ya Jamii appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/aTlShgp
via IFTTT
Post a Comment