Albert Kangwanda Ailaza Simba, Yanga Kutwaa Ngao ya Jamii 2026/27 New Amaan

Yanga SC imeanza msimu mpya wa ligi wa 2026/27 kwa kishindo kikubwa baada ya kutwaa taji la Ngao ya Jamii kufuatia ushindi wa bao 1-0 dhidi ya watani wao wa jadi, Simba SC, katika mchezo uliopigwa usiku wa leo kwenye Uwanja wa New Amaan, Zanzibar. Shujaa wa pambano hilo alikuwa mshambuliaji mpya wa Wananchi, Albert […]

The post Albert Kangwanda Ailaza Simba, Yanga Kutwaa Ngao ya Jamii 2026/27 New Amaan appeared first on Soka La Bongo.



from Soka La Bongo https://ift.tt/84Uy0Je
via IFTTT

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post