RAIS wa Yanga SC, Injinia Hersi Said, amefunguka sababu zilizofanya uongozi wa klabu hiyo kufanya usajili mkubwa na wa kishindo kuelekea msimu mpya wa 2026/27, huku akitoa taarifa mpya itakayowasisimua wanachama na mashabiki wa Wananchi. Hersi amebainisha kuwa kabla ya dirisha la usajili kufungwa rasmi, Yanga itamtambulisha mchezaji mmoja zaidi ili kukamilisha safu yao ya […]
The post Hersi Said Afunguka Usajili wa Yanga 2026/27: “Bado Mchezaji Mmoja!” appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/sew5ag0
via IFTTT
Post a Comment