Simba Yaelekeza Macho Kombe La Shirikisho, Waamuzi Gumzo

MENEJA wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally, amesema benchi la ufundi na wachezaji wa klabu hiyo walitimiza wajibu wao kwa kiwango cha juu katika msimu wa 2025/26, licha ya kushindwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, huku akidai baadhi ya maamuzi ya waamuzi yaliinyima timu hiyo nafasi ya kutwaa taji. Ahmed amesema […]

The post Simba Yaelekeza Macho Kombe La Shirikisho, Waamuzi Gumzo appeared first on Soka La Bongo.



from Soka La Bongo https://ift.tt/zxXB1eb
via IFTTT

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post